Wanawake wasomi na wenye mafanikio hawaolewi

Wanawake wasomi na wenye mafanikio hawaolewi

M nawatafuta ila sipat hata mmoja yani...maana swaogopi kama kujibiwa kunya halinitishi
 
Hii thread imethibitisha jinsi ulivyo na upeo mfupi ..... na ni kweli hutoweza kuwa na mwanamke anayejielewa mwenye mafanikio !!!
Taako ww usinutukane,nieleze nijue
 
Sio kwamba hawaolewi, kwa kiasi Fulani wanaume huwa wanasita kuwa nao kwenye mahisiano wakihofia mafanikiio yao na elimu yao itafanya wasiwe mama au mke ampendae!!
 
MIMI SIWAOGOPI, ILA NI KWELI WENG HUWAOGOPA, ILA KIUKWELI WENG WAO NI WAPWEKE NA HAWAJAENDA MILE NYING
 
Naomba kujua hili jambo je nikweri wanawake wasomi,au wenye nyazifa kubwa huwa wanaogopwa na mwanaume,na huwa hawaolewi kuna ukweri katika hili

sasa wewe jaribu kwenda kwa naibu waziri wa michezo kama haujakuwa new babu Seya sigerea
 
Back
Top Bottom