Wanawake wasionivutia kabisa 2016

List yooote hii waipeleka wapi?
Hivi mtu anaweza kuamua awe na tako kubwa kweli?
Nashauri ungebaki nayo kwani hata mamako hakuwaga na figure japo babako alimwoa nawe ukazaliwa
 
12.wapiga mizinga ovyo utazani wwe ATM .
 
usisahau kua kuna mijanaume pia ina vitambi hatari...inalewa ovyo baaa km hakuna kesho,kuropoka ndo usiseme tena matusi mtupu..bado hajaanza kujisifia uongo, mwanaume miaka 30 anaish na wazaz khaaa mm sipendi so ata nyie wanaume mnatuboaaaa..
 
#12. Wanaoomba omba hela hovyo yaani asubuhi mkuki jioni mkuki kila wakati mikuki siwapendi na hawanivutii 2016
 
KITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
Kitambi noma
 
Nimewahi kukutana na msichana below 22
akaniambia hanywi beer kabisa....only spirits
her favourite vodka....what about that type?

Walevi na wavuta sigara nao ni turnoff.

We demu anakunywa hadi analewa chakari....come on.

Very unattractive.
 
Walevi na wavuta sigara nao ni turnoff.

We demu anakunywa hadi analewa chakari....come on.

Very unattractive.

Mimi nilijiuliza kusema hanywi beer only vodka
ina maana beer haimleweshi tena or what?
si vodka is more strong?au sikumuelewa?
 
Mimi nilijiuliza kusema hanywi beer only vodka
ina maana beer haimleweshi tena or what?
si vodka is more strong?au sikumuelewa?

Inaonekana hujawahi gusa hivyo vitu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…