Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Utakua mpigaji tu wewe, sasa hawa wote utawapendaje ndugu yangu maana kichwa chako umeweka wanawake
 
Sipendi wanawake wanaotumia mkorogo. Sipendi kabisa.
 
Wanaume wasiotuvutia 2016
1:kutuweka kwenye uchumba sugu Ni kupotezeana muda
2:kuficha siri Sana hasa simu
3:ubahili
4:kukojoa kama kuku
mengine endeleza Heaven Sent na Evelyn Salt
nakupenda we mdada ila nimeshindwa kukutungia nyimbo nzuri ya mapenzi sijui hata nitasema nakupenda nani maana ID yako tatizo
 
Sitaki nikosoe natural creation ambayo Mungu amempa mtu. Lakini WIGI ... Khaaa! Yaani hapo yaani nakerwa mno.. Pia mwanamke anayejichubua... dah! Sijawahi ku-date na mwanamke wa aina hii, nakereka mno.
 
Mkisemaga hv mtoe na picha zenu. I hav a friend bf wake hapend wanawake wenye matumbo ila yeye mwanume ana tumbo kama ana utapiamlo na ni mfupi balaa. Nilikua nacheka tu
 
Aiseee! Hiyo namba 9 ndo funga kazi alafu umezipanga kama wachezaji uwanjan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…