Chai umeshakunywa lakini???Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno
hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia
dakika zote umelalaga tu kama gogo,.Mapenzi ni raha na
sio karaha,... khaaa! Stukeni jamani.
Basi kama amejaaliwa noti,azitumie vizuri asije akapata MDUDU WA KARNE kwa kupenda mauno.Sasa yeye kama tayari alishajaaliwa noti na ana vitega uchumi vyake unataka muwe sawa?
Au ukute mtoa mada ndio bosi wa huyu uliye mjibu.Sasa yeye kama tayari alishajaaliwa noti na ana vitega uchumi vyake unataka muwe sawa?
hahahahaha imenibidi nicheke sana saa 12 asubuhi mtu anaanzisha uzi wa kukatika chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHongereni Kwa kuwaza ngono asubuhi asubuhi, sie tupo makazini tunajenga taifa. Na tutakapo kuwa matajiri, msituzushie kuwa sie mafreemasons maana hamchelewi. Nyie endeleeni kukata viuno Kama wacheza sindimba
wala sina bosi mang'aa mie...anayewaza kukatika asubuhi boss wangu yupo km trump donald, ikigonga saa mbili geti inafungwa urudi home sasa mie ikifika saa 10.30 asubuhi nakuwa bafuni atii niwe nimekatikiwa ama sijakatikiwa... nawaza kuwa hapa ofisini kabla geti haijafungwa... siwazi wala akili haiwazi ngono..... kwanza sijakatikiana na mtu karibia mwaka mzima na labda nikiwa likizo huko ntatafuta hata siku 1 nikatike tehetehe katika mwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa telezaAu ukute mtoa mada ndio bosi wa huyu uliye mjibu.
Jamani jukwaa hili mambo ya mapenzi Ndo mahala pake.... kama mtu unaboreka kuna majukwaa kibao ya siasa, biashara,na mengineooo....Hivi jamani tunaelekea wapi Tanzania hii!,watu wanawaza ngono tu oh!!!mara kukata kiuno mara kifo cha mende!! Maendeleo tutapata wapi? Mm Nadhani ni busara kujadili siku mpya ya leo tufanyeje kazi!! Na c ulielala nae usiku hajakukatia kiuno hicho ndo chakula chako cha leo naona,!usile tena leo mana umesha shiba.
huyu mleta uzi hana hela wela nn waafrika wengi ni masikini tunaendekeza ngono tunajifariji unakuta mtu ana watoto kumi wanapokezana kuvaa mmoja akivaa suruali mwingine tisht kwa umasikini sasa kama mshua kaamka anawaza papuche na kukatiwa kiunio unadhani anaweza kufanya kazi kweli sanasana aklkiwa hata kazini atakuwa anawaza atakayemkatia kiuno sanasana achepuke akat.... sasa aendelee kukatikaKila mtu anatafuta kile asichokuwa nacho.
Umasikini unakuandama kwa uzembe wako, weka bidii kwa kila kitu ati..huyu mleta uzi hana hela wela nn waafrika wengi ni masikini tunaendekeza ngono tunajifariji unakuta mtu ana watoto kumi wanapokezana kuvaa mmoja akivaa suruali mwingine tisht kwa umasikini sasa kama mshua kaamka anawaza papuche na kukatiwa kiunio unadhani anaweza kufanya kazi kweli sanasana aklkiwa hata kazini atakuwa anawaza atakayemkatia kiuno sanasana achepuke akat.... sasa aendelee kukatika
NA POLENI SANA NINYI MNAOWAZA NGONO ASUBUHI NDO MNASABABISHA UMASIKINI UNAENDELEA KUTUANDAMA
Nina hekari za kutosha kama vp njoo nikugawie moja ukalime..Hahahaha!!!!kunakucha mtu anawaza hajakatiwa kiuno usiku pengine hata chai hajanywa!!! Shenzi kabisa sidhani kama hata kazi anayo ndo mana anawaza ngono tuuuuu!!!! Chukua jembe ukalime nyanya na vitunguu!!!
Kwani mwanaume kitu gani? Mwanaume msaliti, Hela haitakusaliti. so kama anataka viuno akaoe mcheza shooNyinyi ndio hamuwajali waume zenu, alafu kesho mnalialia hapa ooooh mara anakojoa ndani ya dakika mbili, mara mume wangu shughuli haiwezi.. visingizio kibao, Tatizo ni nyinyi
sipo kwenye ulimwengu huo wa kwako mume ndio nini mimi pesa namba 1 mwanaume apite hivi sina habari....eti hatuwajali kwani tulizaliwa nao sisi,....wewe wacha kunitania aisee
hahahahahaHapo ndipo unaponiacha hoi Mpunga,
You know what I mean.
hahahahaha watu wanashangaza sana viuno halafuakimaliza kwako anahamia kwa mwingine aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrKwani mwanaume kitu gani? Mwanaume msaliti, Hela haitakusaliti. so kama anataka viuno akaoe mcheza shoo