KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Mkuu siri ya maiti ahijuaye mwosha
wana MMU naomba mnisaidie katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu ni nini?