Wanawake/wasichana mimba na mimba za kusingizia

Wanawake/wasichana mimba na mimba za kusingizia

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
wana MMU naomba mnisaidie katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu ni nini?
 
pole, watoto wa dotcom, digitali. ndiyo style zao izo. mi naona ukikutana na hari ya namna hiyo kausha tu.
 
wana MMU naomba mnisaidie
katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its
either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta
kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja
anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week
anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya
mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu
ni nini?

kaka mm mwenyewe imenitokea kwa X-gf wangu tulishaachana na saizi ananiletea hzo habari kunilazmisha eti mimba ni yakwangu imetokea bahati mbaya.. dah yan leo cku yangu ilikuwa ngumu sana
 
wana MMU naomba mnisaidie katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu ni nini?
Nasikitika sana kusikia habari hizo, hivi wanaume mnatatizo gani?mechi bila protection unategemea nini?nani akupangie uzazi? pia unapokataa uwe na hakika kama alikonasa ni kwingine la utajitafutia laana. usikurupuke bora umwambie sitakuoa lakini usikimbilie amenasa kwingine hali huna uthibitisho. mwache aendelee kukaa kwao ukiendelea na uchunguzi kama sio wako kweli ukigoma kumuoa yawezekana akahamia kwa baba wa ukweli. mbaya sana ukamkataa mtoto kesho unarudi kumuhitaji. wajibikeni kujipangia uzazi msiwaachie wanawake.
 
kaka mm mwenyewe imenitokea kwa X-gf wangu tulishaachana na saizi ananiletea hzo habari kunilazmisha eti mimba ni yakwangu imetokea bahati mbaya.. dah yan leo cku yangu ilikuwa ngumu sana
Mliachana lini?na lini akakakwambia anamimba yako? au mliachana alafu mkikutana mnatumiana? ukitembea na mtu bila protection tegemea kusikia lolote mimba, ukimwi, na magonjwa mengine. kwanini upangiwe maisha na mtu mwingine, ushindwe kujilinda nani akulinde?ni mkeo huyo?mnasikitisha sana. aibu sana kukubali kuzalishwa ovyo bila kuplan.
 
Wapo ambao kweli wanasingizia. Kuna mmoja alikuwa anamtumia msg x boyfriend wake kuwa ana mtoto wake. Hawakuwa wamewasiliana kwa miaka minne. Baada ya huyo mwanamke kuitwa kwenye kikao na kuulizwa vizuri akasema kweli sio mtoto wake ila hakuwa anapenda huyo X wake kuwa na mwanamke aliye naye sasa
 
Waambie hao. Kutwa kulalamika mimba za kusingiziwa wakati kondomu zipo tele, bei nafuu kuliko kulea mtoto.



Mliachana lini?na lini akakakwambia anamimba yako? au mliachana alafu mkikutana mnatumiana? ukitembea na mtu bila protection tegemea kusikia lolote mimba, ukimwi, na magonjwa mengine. kwanini upangiwe maisha na mtu mwingine, ushindwe kujilinda nani akulinde?ni mkeo huyo?mnasikitisha sana. aibu sana kukubali kuzalishwa ovyo bila kuplan.
 
Akupende wapi wakati kaibebea njeee!!!!!
Mi nadhani pindi anapokataliwa kwa yule aliyempachika mimba ndo huja kwako na kukutaka mechi ili tu aweze kupata mtu wakuweza kumletea matumizi na kumlea mtoto kwenye mazingira mazuri ya baba na mama, si unajua malezi ni wazazi wote wawili.
 
upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom halafu unalia lia kusingiziwa mimba

upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom huku huna mwelekeo wa kesho
 
Akikufanyia hivyo anakugeuza ---- mpige kibuti. Simpo! Zama zetu haya madudu hayakuwepo. Hatukua chovya chovya kama sasa.
 
Mimi imenitokea nilimpenda dada mmoja , nilimtongoza yapata mwaka mzima akakubali kwa mbinde na yeye akadai hanipi mpaka tupime na kweli tukapima na wote tulikuwa salama.tukaanze mchezo baada ya miezi mitanp akaja hotelini nilipofikia maana mie nilikuwa naishi mji mwingine na yeye,akaniba msaha kuwa yeye ni mke wa mtu na sasa ana mimba na kwa hesabu zake akadai ni yangu,basi nilimpa nauli na kumwambia aondoke na baadaye nikampigia simu kuwa sasa byebye,alizaa mapacha na wote weupe maana mue ni mweupe na wao ni couple weusi,akaniletea watoto siku moja,niliumia sana na nikaripoti kwa shehe maana wao walikuwa waislamu na mie ni mpagani,shehe akaniambia kitanda hakizai haramu hivyo nipotee mbsli na nisiwe na uhusiano nao tena
 
Akikufanyia hivyo anakugeuza ---- mpige kibuti. Simpo! Zama zetu haya madudu hayakuwepo. Hatukua chovya chovya kama sasa.

tatizo unajua ni pale ambapo mtu kwa nia njema unakubali ukijua ni damu yako unalea, kumbe mtaa mzima wanakucheka wakijua mchezo mzima
 
upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom halafu unalia lia kusingiziwa mimba

upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom huku huna mwelekeo wa kesho

unajua tatizo ni kwamba pale unaposingziwa mtoto ni wako wakati hakuhusu, m2 unaweza ukawa na nia njema ukalea kumbe mtaa mzima wanajua mchezo mzima...
 
Akupende wapi wakati kaibebea njeee!!!!!.
ni ki2 cha hovyo manake kuwa na mtoto ni swala nyeti, pengne unaweza ukamtambulisha hadi kwa ndugu, hv ikija kugundulika ukweli uso wako utauweka wapi mbele za ndugu zako uloenda kujinadi kwao kuwa una m-kid wakakuona dume la mbegu?
 
Nasikitika sana kusikia habari hizo, hivi wanaume mnatatizo gani?mechi bila protection unategemea nini?nani akupangie uzazi?.....
usiwaze negatively tu kwani swala la kutotumia kinga wote wanahusika ata mwanamke ana haki ya kuhoji mbona mwanaume hana kinga! Pia kuna kinga za wanawake...
Sio ishu sana manake wengne wanakubali wanalea lakn mwisho wa siku siri inavuja mtaa mzima mpaka kwa ndugu zako poa
 
Wazee wengi ndo mnaongoza kwa ufataki, unakuta mzee miaka 50 unadate na msichana wa miaka 25 ambaye ni girlfriend wangu! Mwisho wa siku akijifungua anauleta ujauzito kwangu manake hawezi kuoana na wewe..mnakera wazee we2! Alafu hayo yakitokea mnabaki mkisema ati ni kizazi cha .com..
pole, watoto wa dotcom, digitali. ndiyo style zao izo. mi naona ukikutana na hari ya namna hiyo kausha tu.
 
Pole kaka, kuna girl alimshawish x-bf wake mpaka akaenda arusha, wakapiga show wiki iliyofuatia neno aliloambiwa nina mimba yako
kaka mm mwenyewe imenitokea kwa X-gf wangu tulishaachana na saizi ananiletea hzo habari kunilazmisha eti mimba ni yakwangu imetokea bahati mbaya.. dah yan leo cku yangu ilikuwa ngumu sana
 
Waambie hao. Kutwa kulalamika mimba za kusingiziwa wakati kondomu zipo tele, bei nafuu kuliko kulea mtoto.

wewe honey...kumbe hujui ata utamu wa honey....bwana wee ile kitu inatakiwa liwa kavu kavu mambi ya ndom ni uchakachuaji wa utamu. the ladies need ro understand ni kwamba nikigegeda kavu dont mean kuwa nataka mtoto ni kwamba i want US to enjoy to the fullest.
 
Back
Top Bottom