Wanawake wasafi, werevu hebu wasaidieni wenzenu katika usafi huu

Unajua Papuchi ni Kama CHOO CHA KULIPIA yani namaanisha public toilet na usipoifanyia usafi2 basi inatoka harufu kama ya MZOGA WA KENGE ndio maana papuchi nyingi zina RANGI NYEUSI,rangi hii ni kutokana na papuchi kuwa chafu sana! Hivyo inakuwa sugu ..yaani hata uoshe na Sabuni za detol box zima ni kazi buree!

By the way mimi ni daktari bingwa wa kutibu papuchi zinazotoa harufu mbaya ..hivyo basi kama una mpenzi wako anatatizo hili nakushauri umlete kwangu haraka nimpe matibabu.
Hahahahahahahaa

Bora nimecheka hivi leo kdg hasira zangu zimepungua
 
Huyo tatizo lake sio kusafisha huko chini, aende hospital akachek fungus na magonjwa mengine. Uke huwa unajisafisha wenyewe hakuna njia ya kusafisha huko.
 
Papuchi kwa mabinti wa kitanga na makungu wao huwa inasafishwa na kuungwa na viungo then kila ukila unapata hamu ya kumega tena sasa kutana na mabinti wa dar wajua mawigi na instagram kucha ndefu....hata kujichamba hawajui vizuri
Tanga raha
 
Halafu wanadai huenda harufu Hilo huenda inaanzia tumboni huko. Wataalamu watatujuza.
 
Me niko tanga nmekutana na wanawake wawil wa tatizo hili. Nafikiri kuna tatizo mahala fulani kiafya, si bure! Hata usiwavimbishe kichwa.

Mmoja nilimwambia aende kwao nilale peke yangu guest akagoma nichukia mbaya mpaka asubuhi.
Ulikutana na mbara mwenzako
 
Kuna wengine sijui huwa hawapendi wajulikane wakiingia chooni ??? Siku mbili tofauti nilikuwa na watoto wa kike sasa before mgegedo alikwenda kujisaidia wa kwanza aliniacha ndani sasa ile kurudi na kuanza tendo,,,, Na ile staili pendwa ya chuma mboga SALAAALEEEE kinyesi kabisa kimemjaa na dushe likakata stimu hapo hapo. Mwingine ile nimetoka kwenda kuchukua ndomu akatumia hiyo fursa kuingia chooni. kuanza tendo mara dog style mtu ana kinyesi tena chenye harufu kali ila niligonga hivyo hivyo kibishi maana ilikuwa ishanitoka kama hamsini hivi.
Daah....mkuu una majanga aicee ila pole
 
Mimi nasafisha ila siingizi vidole maana nilikuwa napenda mchezo huo sababu nilikaa nje sana na maji ya kule ni masafi sasa nilivyorudi huku ikawa napata uti sana.ila mnunulie sabuni ya ferm fresh ya wanawake haina chemicals na gloves zile za kuogea ni nzuri kama hiyo sabuni ni bei then mbuni ni nzuri haina chemicals akipiga na cloves atakuwa fresh na anyowe maana manywele na joto mmmmm
 
Nawashangaa wanawake wanaosema hawasafishi nyuke zao,eti zinajisafisha zenyewe!!! Hii ni ajabu sasa kama hawajui huko chini hadi kufukizwa kwafukizwa ili kuondoa shombo ya asili ya uke
Huko kufukiza ndiko kubaya maana kuna products zingine zinaua mfumo wa asili na kupafanya kuwe tegemezi kwa kufukizwa na ukija kuacha utajuta. Ndio maana kuna wanawake ambao wakipitisha masaa machache tu bila kuoga, mwili unakuwa mchungu. Epukana na kujifukiza kwa mafusho makali, kupaka deodorant au perfume huko chini, kudouch, na ujenge mazowea ya kubadili underpants mara kwa mara, kuvaa underpants kavu, kutoshare underpants, kutibu magonjwa ya zinaa haraka, kujikausha vizuri baada ya kutoka maliwato na uangalifu uwe mkubwa wakati wa kujiswafi ili kutohamishia visivyohusika kusikostahili, watu wazima wamenielewa.
 
Wewe usinifundishe unyago mimi,kama hukupitia jando ni wewe..!! Wanawake wa pwani tunajua wajibu wetu
 
Duuh mambo juu ya mambo..huko hospital ma dr niwakike au??
Wanao watibu

Wanawake mna msala kwakweli,mimi nilidhan papuch zinanuka coZ ya uchafu, dunia ina mengi
Nah sio Uchafu ni magonjwa mtu anaumwa haendi hospital.. Anaona sijui vitaisha tu
Hospital madokta wako jinsia zote,..kina dada wasiwe waficha uchi kwa daktari maradhi yatawaumbuaa tuu
 
Nilikula mpaka nikavimbiwa...nlichukua shuka nikafunga kama derek puani

Na huwezi amini yule mwanamke alikuwa mnato haswa
we mkali shuka puani kama mfagiaji wa barabara pale magogoni road
najaribu kuvuta picha ya tukio nawaona Al Shabaab hawa hapa tisha sana mkuu
 
Duuh, hili huwa wanalipinga

Sasa inakuwa ngumu kujua which is which
Ndio tabu ya mwanamke kujigundua mwenyewe kuwa kavunja ungo,kajivalisha pedi mwenyewe hana cha mafunzo ya unyago wala ya kungwi, kila MTU kwenye Dunia hii atajifanya Mwl wa kumfunza mwenziwe kwa kumuogopesha hili na lile, kama kwapa linatoa harufu chafu na huitaji kusafishwa na kunogeshwa kwa marashi matamu itakua uke ndugu yangu? Tumia vionjo Asilia kuulinda uke wako other wise ukitanua tu mapaja watu watashika pua
 
Kuna wengine sijui huwa hawapendi wajulikane wakiingia chooni ??? Siku mbili tofauti nilikuwa na watoto wa kike sasa before mgegedo alikwenda kujisaidia wa kwanza aliniacha ndani sasa ile kurudi na kuanza tendo,,,, Na ile staili pendwa ya chuma mboga SALAAALEEEE kinyesi kabisa kimemjaa na dushe likakata stimu hapo hapo. Mwingine ile nimetoka kwenda kuchukua ndomu akatumia hiyo fursa kuingia chooni. kuanza tendo mara dog style mtu ana kinyesi tena chenye harufu kali ila niligonga hivyo hivyo kibishi maana ilikuwa ishanitoka kama hamsini hivi.
The kind of girls u hook up with tell us the kind of man u are...m js sayin
 
Wengi wanaounga uke kwa viungo na mavitu huwa uke unafikia mahali unakuwa umekufa. Hii ina maana kuwa wale normal floral wanaotakiwa kuulinda uke na kuuaafisha wanakuwa wamekufa kwa hiyo huko chini kunachacha na ndiyo sababu ulikutana na hiyo hali katika mazingira ambayo wanawake wanasifika kwa kuunga uke.
Me niko tanga nmekutana na wanawake wawil wa tatizo hili. Nafikiri kuna tatizo mahala fulani kiafya, si bure! Hata usiwavimbishe kichwa.

Mmoja nilimwambia aende kwao nilale peke yangu guest akagoma nichukia mbaya mpaka asubuhi.
 
LadyAJ, post: 19080385, member: 333742"]Wewe usinifundishe unyago mimi,kama hukupitia jando ni wewe..!! Wanawake wa pwani tunajua wajibu wetu
He! Mbona unakuwa mkali mama? Ina maana unajua kila kitu? Mbona ni kawaida sana humu? Nisamehe basi, yaishe! Nilikuwa na nia njema maana niliona umepotoka na sikutaka wengine wapotoke pia.
Asante.
 
Back
Top Bottom