SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,779
- 3,401
Wakuswampa kama hujui bora kukaa kimya, mi nilidhani angetikea mtu humu akauliza njia safi na salama za kusafisha uke, kumbe mmekuja kushadadia tu!? LOL hatari, kusafisha uke sio kuchokonoa chini,kama kama kuchokonoa kungekua ni dhambi jamaa yako asingekua anakupiga madole kabla hajakushughulikia (NIMEMALIZA SITAKI MJADALA TENA)
Bora mwambie akae kimya .... Amwambie mumewe aache kumtia vidole kwanza ... Hivyo vidole vya mumewe vingeshamaliza bacteria wote huko chini au vidole vya wanaume na vyetu vinatofauti?!! watu wajinga tu hawafikiri kabla ya kuropoka .... Hao ndio wale waume zao huja lalama hapa