themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 333
duuuuhhh jamani 5'9" ni mtu mrefu wewe unatania kweli kwamba Tanzania wanawake wenye 5'9" ni wachache Tanzania dada yangu are yiu real serious?nenda kanda ya ziwa huko mwanamke mwenye below 5'10" unamtafuta kwa torch kuwa serious sometimes dada yangu mimi hapa kwetu ndio mtu mfupi kwetu nina 6'4" jamani messi tumuita little man huku ana 5'9" dada kuwa serious kidogo baasi wewe sio mrefu bali mwanamke mwenye avarage weight sio mrefu sio mfupiHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.

Nadhani tuko kawaida Kama wanaume wengine tu.hivi ni kweli wanaume warefu wanakuwa na miguu mitatu mwingine wa mtoto?? maana kuna dada yangu mmoja aligoma kuolewa na mtu mwenye sifa kama yako, sababu eti kizazi kitapasuka
Sie naufupi wetu tumo humo humo tumeridhika nao , kuna wengine warefu halafu anakuwa mnenehaunogi kwakwel..mimi mie wifi yangu mrefu had amepinda..aku..yaan kapinda kbs
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Na sisi vishotii?
Kwani urefu unaanzia sm ngapi??? Naona mleta mada kasema ana 170sm wakati mimi nina 170 sm na najiona mfupi, au urefu hutegemea na ulionao pia maana kaskazini wengi warefu???
Few years from now you may wish you should have started today...
Unapenda kuwa na mwanaume wa aina yako au mfupi? Wanawake wengi hupenda kuwa na wanaume wa kimo kama changu(warefu) wewe unasemaje juu ya hili?Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Sie naufupi wetu tumo humo humo tumeridhika nao , kuna wengine warefu halafu anakuwa mnene
ukipishana naye utazani umepishana na kiboko au mtoto wa ndovu
Sent using Jamii Forums mobile app
My wife Me too yeye ni andunje ila rangi ya mtumehahahhaa unamsema wif angu ww..yaan yy mnene...jaman majanga
Hahahahaa nimejizuia kucheka lakini wapiHongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni kwa warefu, wewe rudi kwenye ule uzi wa wafupi ππππππ
Huku ni kwa warefu, wewe rudi kwenye ule uzi wa wafupi πππ
πππππππUkiwa shoti na kasura kazuri na huku nyuma kidogo basi masharaaa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππ
Mbona vyote nehii sasa!!!
Kwakweli, hapo inabidi tu nisubiri miujiza.tuingie kwenye maombi mamy...!
Kwakweli, hapo inabidi tu nisubiri miujiza.