hengo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 402
- 50
Inasikitisha sana kuona dada zetu wanakataa asili zetu, yaani ubinadamu haupo mtu anadiliki kuomba kisu ili tu atunze maeneo yake ya `biashara`Nimeshuhudia wengi wenye masaburi makubwa ndo udai kisu kwa ghrama yoyote.Hii pengine ni kwa sababu wanaundergo unnatural way.Madaktari wetu pia wanakiuka maadili ya kazi kwa kupenda pesa
Kunahaja ya kulishughulikia swalam hili
Kunahaja ya kulishughulikia swalam hili