Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Ukiwakuta kwenye mto uliopo mbugani unaweza kukimbia ukavunjika miguu maana ni kama viboko.
Ndio tena iko pale kariakoo inauza mapicha kama haya.Photo shop hiyo
Jamaa amefanya Comparison na siyo kwamba wapo the same place hao Wanawake na Viboko hao.Hayo maji mbona yana rangi tofauti??
Au ndio photoshop? Kama ni PS basi ungehakikisha una sample maji ya hao hippo ili yafanane na ya hawa madada!!!
Hayo maji mbona yana rangi tofauti??
Au ndio photoshop? Kama ni PS basi ungehakikisha una sample maji ya hao hippo ili yafanane na ya hawa madada!!!
Photo shop hiyo
Jamaa amefanya Comparison na siyo kwamba wapo the same place hao Wanawake na Viboko hao.
Betina wa kwenye gazeti la sanihaya..na keaho mada ya sie vimbaumbau...
sijui tutafananishwa na nani???
photo shop kivp mkuu? ina maana hao wadada sio wanene? ndio wote tumeona hapo kuna muunganiko wa picha mbili.Photo shop hiyo
HahahahahahahahahaNdio tena iko pale kariakoo inauza mapicha kama haya.