Wanawake wanene makes good couple/wives; personal experience

Watu wengi wanasema hivo sina hakika embu wanaume jitokezeni mujibu hili, leo nitakula kiti moto kilo mbili nisije achwa

usiogope kuachwa. usijiharibu kwa kula kiti moto. hakuna embe lidondokalo likakosa muokotaji. ................:becky:
 
mmmmh kwama ni expernce umewahi kuwa na wangapi maana huwezi kuwa una expernce ya kuwa na m2 1 tu

Bwana/Bi kaka/dada hujasoma sredi yangu vizuri.........nimezungumzia pia marafiki na ndugu nilionao karibu zaidi

By the way, kabla sijaoa nimekuwa na mahusiano na "vi-model" na kwa kusema ukweli tofauti ipo..............hata hivyo usisahau "there is no such a thing as universality in relations"................hope umenipata

Tafuta pia ile sredi ya mwaka jana ya The Boss
 
Duh kwa hiyo wengine tufanyeje sasa
 
Back
Top Bottom