Wanawake wanavutiwa na mambo haya

Mnanishangaza kuleta agenda kama hizi mezani, wenye kujua wanapenda nini kwa wanawake. Kama ni mwanamke sawa siku ishii
 
Hapo unamzungumzia Mwanaume wa Dar au Mwanaume Kamili?

eti fasheni, hiyo ndio nin kwanza?, Yaani Mwanaume Kamili azubae kwenye fasheni na kunukia ili apendwe na wadada aache kufanya kazi kwa bidii na kutafuta hela?
 
Msingi kiuno nyie endeleeni kutafuta Pesa wenzenu wanatuletea.
 
Kuna watu mmejaliwa utunzi yaan unatunga UONGO km ukweli na wapo watu wanajaa kabisa wakiamini kua ni ukweli kumbe ni UONGO, we have a Long way to Go
 
Money is above of all this nonsense
 
Dogo fanya kazi watakuja wenyewe, ila namba 5 hiyo ni ukweli mtupu,

Namba 4 ondoa swagga weka kujiamini nayo ni ukweli usiopingika.

Ukijiamini unang'oa pisi kali hata kama hauna pafyume.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…