Wanawake wanatesa wanaume mabwege

WisWisr

Kuna Watu wanapesa na wanateswa Mno.
Mwanaume Sifa yake ya Kwanza ni kujiamini, ujasiri, awe na Pesa au asiwe.
 
Kila mtu asome hapa, hasa para ya mwisho
 
Sio fact

Ukiwa na kibunda automatic hauwi bwege.

Pesa ata ma bwege wanazo hujawaona wanavyo wajengea magorofa na kuwanunulia magari wakati ndugu zao wanalala kwenye nyumba za tope ? Huoni ma bwege wenye pesa wanavyokesha kidimbwi na michepuko huku familia zao zimelala njaa? Pesa yoyote anaweza ipata haijalishi kasoma au hajasoma mahna ukijua kanuni za kupata pesa lazima utazipata tu ata ukiwa wapi ila haiyondoi UBWEGE ..
 
Nakupa mauwa yako mzeee una baya [emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253] nakukubali mpka kesho
Umeona namna neno 'nakupa maua yako mkuu' linavyoandikwa in a positive way? Hapo ubaya upo wapi mkuu? Je, mtoa mada uanaume wake umeondoka? Let's learn to take things in positivity. Glenn
 
Niliwahi kumuona kanali bwege anapelekeshwa na kutii amri za mkewe
Yako mengi,ukitaka umuweze mwanamke kuwa mkoloni Fulani kamwe hawezi kukuacha.

Uzoefu inaonesha wanaume wanaoachwa ni wale mabwege wanaojifanya kupenda saana au kama ni mkali au katili iwe in excess ila ukatili wa kawaida hakuna mwanamke ataondoka.
 
Ndio mabwege wenyewe Kila kitu Hadi wahonge hao ndio Huwa wanaobabaishwa na wanawake
 
Nakubali Robert Heriel,wavulana wengi sikuhizi kuliko wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…