Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Mkumbuke kuna wengine wamefungwa akili zao na hawajitambui hivyo yeye chochote atachoambiwa afanye anafanya tofauti na akili zake
 
BINAFSI NAONA MWANAUME KUPELEKESHWA NA MWANAMKE KIBWEGE BWEGE, LABDA UKOSE TU PESA. LAKINI KAMA UNA PESA,SIO RAHISI KWASABABU WANAWAKE WAZURI WAPO KIBAO NA WOTE WANAHITAJI WANAUME WENYE PESA.
ILA PIA USHIRIKINA UPO, UNAWEZA KUMUONA MWANAUME PAMOJA NA PESA ZAKE ILA KAWA BWEGE KUMBE NDIO MKEWE KASHAMTENGENEZA HIVYO.
 
😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…