Wanawake wanatesa wanaume mabwege

Nakupa mauwa yako mzeee una baya [emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253] nakukubali mpka kesho
 

Bahati nzuri wengi hapa mjini ambao wanaitwa pisikali wala sivyo walivyo.
Na hao wasio pisikali ni Kwa vile Hawana Matunzo. Ila wanafanana.

Pisikali ni wachache Mno, yaani moja Kati ya elfu moja. Sasa wavaa mawigi na makeup ndio wanaojiona pisikali. Ndio wanaowafanya wanaume MABWEGE kuwa Misukule
 
Hapa kweri inadhirisha bongo tuna kauvivu kakusoma Uzi mrefu mwamba naona unapita changamoto yakuteswa na mwanamke mpka unadondosha yalio moyoni

MABWEGE sio rahisi kuelewa Kwa sababu yenyewe hayajui Kutumia Akili(majinga) kama mada inavyojieleza.
Soma Kwa ufahamu, kisha tafakari.
 
Mzee Kuna watu wana hela na wanafanywa mabwege mpaka huruma

Utajiri mkubwaa zaidi ni maarifa

Yani mi kuna jamaa huwa nawaangalia mpaka najiuliza "Hivi huyu ubongo wake unafanyaje kazi?"

Dunia ina ukame wa wanaume wenye mawazo ya hii haina ya heriel
 
naunga mkono hoja
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…