Wanawake wanataka nini kwa mwanaume wasicheat?

Wanawake wanataka nini kwa mwanaume wasicheat?

Kuchit ni mazingira 🤣 kuna wapuuzi wanaandika mtandaoni eti wanawake hawana tamaa na hawawezi kufanya mapenzi na mwanaume asiyempenda , mimi huwa nawauliza kama wewe uliweza kufanya akakupenda undahani hakuna jamaa mwingine anayeweza kumfanya nae akampenda? 🤣 wanakazia eti sisi wanaume ndio tuna chit ukimuuliza tunao chit nao sio wanawake? Je tunawakuta bikra hana jibu
 
Tatizo mmekariri maisha kwamba mtu akitoa maoni yake ni feminist sipo Kwa ajili ya kutetea jinsia yoyote Ile ila wanaume mmejiweka kwamba I perfect sana in all aspect of life
mwanaume aliumbwa perfect lakini mwanamke ni nusu yake so yeyote anaepingana na hili ni feminist!
 
Kuchit ni mazingira 🤣 kuna wapuuzi wanaandika mtandaoni eti wanawake hawana tamaa na hawawezi kufanya mapenzi na mwanaume asiyempenda , mimi huwa nawauliza kama wewe uliweza kufanya akakupenda undahani hakuna jamaa mwingine anayeweza kumfanya nae akampenda? 🤣 wanakazia eti sisi wanaume ndio tuna chit ukimuuliza tunao chit nao sio wanawake? Je tunawakuta bikra hana jibu
This time wanawake ndio wanaongoza wa Sasa kuchiti anakuwa na mwanaume mwenye hela, mwanaume ambaye ana mkaza hela Hana na mwanaume mwenye kutumia opportunity anaweza kuwa ni boda wake au jirani yake au workmate wake kwa pamoja na kila mtu hapo anapewa mzigo kwa wakati wake
 
Mwanamke anahitaji Iman ya kweli yani amjue Mungu ukweli wa kumjua na awe na elimu ya dini hasa na aswali akiwa hivyo huo upuuzi hawazi kabisa likewise to mwanaume
 
Back
Top Bottom