Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,256
Sawa mkuuHaijalishi chochote unachosema nimetoka kuwasifia wenzako hapa wanaona aibu Wanasema "Aaaa mbona sipo hivyo" ila wanaona aibu na kupenda wanvyosifiwa hata kama ni uwongo.Binafsi naamini wanawake ni complicated hicho unachokiongea ntaamini kutokana na reaction Kwa vitendo vyako ila Kwa maneno ni uwongo.
Wanawake niliowahi kuwaambia Wana matumbo makubwa walinichukia mpaka leo ila wangekuwa kwenye keyboard wangedanganya wakiambiwa hivyo hata hawachukii.