Wanawake wanataka muwatunze

Wanawake wanataka muwatunze

......hayo uliyoainisha hapo juu ni sahihi kabisa wanawake ndo mahitaji yao makuu.......shida ni sisi masikini tunajifanyaga tunajua kutekeleza vizuri hayo matatu ya chini, kumbe hatuna uwezo wa kutekeleza la kwanza.......so tutafute hela coz la kwanza likitekelezwa haya mengine yanavumilikaga tu......njaa na mapenzi haviendi pamoja hata romance yako mwanaume inakaa kinjaanjaa....... ukitaka french kiss unakuta wife kakung'ata kumbe alijua anakula chips, au unamsikia analia unajua ni mahaba, unamuanhalia vizuri unaona machozi unamuuliza nini tatizo anasema njaa.....
😀😀😀
 
Hata kama unafiki unazipokea, maneno huuumba.. kwani mtu akikuambia una kei tamu mnato mnato inavuta.. unajisikiaje hapo 😃😃😃 unasikia niingize yote au iwe nusu kwa juu.. unaambia una mwili mzuri anakubana ile kwa kukumbatia kwa nguvi huna ana ku kukisi alafu anakusifia lips.. au anakutazama machoni huku anakuambia unajisikiaje.. 😅😅😅
We! Unataka unifanye Nini mwenzio....eti National Anthem ? Daaah
 
wmn.jpg
 
We! Unataka unifanye Nini mwenzio....eti National Anthem ? Daaah
😅😅😅 ile anagusisha midono kwenye midomo yako huku anakuzunguzisha, hapo bebi unajisikiaje... unasikia nakupenda mpenzi 😅😅😅 anakuuliza tubadili au hii una enjoy.. ujue ni sex ni communication kama hakuna communication ngumu kutoboa.. goja nilale zangu na haka kabaridi
 
🙌
 
Huenda kweli ndo nilivyo....utamzuiaje yeye kuona uhalisia?
Haijalishi chochote unachosema nimetoka kuwasifia wenzako hapa wanaona aibu Wanasema "Aaaa mbona sipo hivyo" ila wanaona aibu na kupenda wanvyosifiwa hata kama ni uwongo.Binafsi naamini wanawake ni complicated hicho unachokiongea ntaamini kutokana na reaction Kwa vitendo vyako ila Kwa maneno ni uwongo.

Wanawake niliowahi kuwaambia Wana matumbo makubwa walinichukia mpaka leo ila wangekuwa kwenye keyboard wangedanganya wakiambiwa hivyo hata hawachukii.
 
Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume

1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.

2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.

3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.

4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.

##WEEKEND NDYO INAISHA
(japo sio wote) Nikujuze tu, wanamake hawaridhiki kamwe. Tenda kwa kiasi ukitafuta kumridhisha mwanamke kamwe kamwe mnunulie gari siku ukikosa hela ya mafuta atakuita mwanaume suruali alafu akatokea mwanamme wa kumpa 10,000 ya mafuta atamtukuza kua huyo ndio mwanaume.

Na kamwe usimsikilize mwanamke ati anataka nini, na kadri unavyokua mpumbavu ndivyo atakusifia ili unase sawa sawa kwa mtego wake. Women are takers with no shame. (Japo sio wote)
Screenshot_20230222-180606_Quora.jpg

sasa ukifuata ushauri wa mtoa mada ati "mwanamke asikilizwe" nini kitatokea kama ukiamtja kuisikiliza hiyo mbuzi imevaa nguo la blue hapo above.

Women lack ethics and morals truth be said hawa viume ni selfish to the highest level

Screenshot_20220212-192123_Quora.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230222-180606_Quora.jpg
    Screenshot_20230222-180606_Quora.jpg
    30.9 KB · Views: 8
mama D , mama mtumishi, hauna neno la kusindikizia hapa? Hata ka kifungu ka kichokozi 🤣🤣🤣

Ieleweke tuu kwamba wanawake ni malaika watoa habari
Ukimtendea mema dunia itajua na Ukimtendea mbaya dunia itajua pia
Mwanaume tenda mema ili usipate shida ya kujitetea na kukataandoa😅😅😅
 
Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume

1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.

2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.

3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.

4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.

##WEEKEND NDYO INAISHA
Wanaume kazi tunayo, hivyo viumbe kamwe havitosheki
 
Back
Top Bottom