Wanawake wanataka muwatunze

Wanawake wanataka muwatunze

Mtama gani em niambie vizuri.
Mkurya mimi ujue
Au tumia hio mbinu 🤣🤣
images.jpeg
 
Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume

1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.

2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.

3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.

4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.

##WEEKEND NDYO INAISHA
❤️❤️❤️
 
Hii ni dunia ya haki sawa , kila mtu ajitazame binafsi , mkiamua kuwa pamoja haki itembee kwa wote sio kutaka haki sawa kwenye baadhi ya mambo huku wengne mkiona wengne wanastahili huduma zaid hii sio haki kabsa .
 
Back
Top Bottom