wanawake wanasumbua

wanawake wanasumbua

Joined
Sep 22, 2015
Posts
29
Reaction score
23
Message…nilkuwa na mchumba wangu toka mwaka 2014 tukawekeana ahad ya kuoana ntakapomalza chuo 2018 na shatuma wazaz kuongea mahar cha ajab 2017 kapewa mimba yaan ctosahau ndugu zangu wanawake c watu
 
Jr
 
Hiyo ishu inadatisha sana. Inabidi tuweke utaratibu wa kudai fidia kwa kuharibiwa muda, impinge, pamoja na rasilimali nyinginezo. Hii itabia inaota mizizi sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message…nilkuwa na mchumba wangu toka mwaka 2014 tukawekeana ahad ya kuoana ntakapomalza chuo 2018 na shatuma wazaz kuongea mahar cha ajab 2017 kapewa mimba yaan ctosahau ndugu zangu wanawake c watu
Duuuh mkuu toka 2017 mpaka leo 2020 bado unamuwaza tuu.

Kwel hawa wakina Hamida wapo wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Message…nilkuwa na mchumba wangu toka mwaka 2014 tukawekeana ahad ya kuoana ntakapomalza chuo 2018 na shatuma wazaz kuongea mahar cha ajab 2017 kapewa mimba yaan ctosahau ndugu zangu wanawake c watu
Tatizo mmewekeana "ahad ya kuoana".

Kiswahili mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa.

Wawili hao hawaoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom