Wanawake wanasagana sana siku hizi

Wanawake wanasagana sana siku hizi

Umejuaje wanawake wengi wanasagana?
Hii iko wazi na wewe, unakuwa kama mtu wa kigoma bana... unataka uanze kubishana nini sasa?! Wako mastaa wetu njaa tele! wanadhihirisha kabisa mitandaoni na wanaji-post na wapenzi wao (jinsia moja) kwa mfano kuna Dada hata simuelewagi yeye ni msanii au kitu gani nashangaa tu yeye ni celeb. anaitwa "Nelly kamwelu" yeye huwa anaweka na picha kabisa ya mpenzi wake kwenye Snapchat na Caption nzito ya mahaba dahh! 😂😂😂 dunia simama nishuke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipo mimi uje bwana magazeti yamejaa tele na tumekumiss makapuku kwetu
Na msinimiss tu kwa kweli, sio kapuku mie[emoji1787][emoji1787], ila nikipita nitakusalimia twende milimani kwenye baridi..huku town hatuna viyoyozi na maji tabu ishakuwa shida hii.
 
Na msinimiss tu kwa kweli, sio kapuku mie[emoji1787][emoji1787], ila nikipita nitakusalimia twende milimani kwenye baridi..huku town hatuna viyoyozi na maji tabu ishakuwa shida hii.
[emoji1787][emoji1787] tukikumiss unajua lazima uone fujo zetu za kukuita mjini sasa hivi hakufai kwakweli twende tu milimani
 
.
Nilishaongelea hili kwenye uzi fulani ila nitarudia kwa faida ya wadau. Usagaji ni tatizo la kiroho lakini nitalielezea kisayansi pia.
.
1-Kisayansi: kabla ya sex, mwanaume humuandaa mwanamke then baada ya muda fulani huanza kumuingilia. Msagaji anapomchezea mwenzie, humpa experience kama ya foreplay ya mwanaume and a little more lakini kwao inadumu kwa muda mrefu sana. Msagaji anapomchezea mwenzie, hana nyege za kutaka kumwingilia haraka haraka kama mwanaume. Kwahiyo ana uwezo wa kumchezea kwa muda mrefu, hii hupelekea kumfikisha mwenzie kileleni mara nyingi zaidi kuliko wakati wa conventional sex. Anayefanyiwa ana-experience raha ambayo mwanaume simply hawezi kumpa, ni raha ya viwango vya tofauti kabisa, out of this world…kwenye raha ya mapenzi, wasagaji wako kwenye dunia nyingine, sio kama mahusiano ya mwanaume na mwanamke. Anayefanyiwa usagaji anawaona wanaume takataka kwababu hawawezi kumpa ile experience niliyoielezea. Imagine mwanaume wa kawaida hawezi hata kumchezea mwanamke kwa dakika 15, sembuse masaa 2?! Let that sink in for a moment. Wadau wanaosema hatuwakazi hawa wanawake vizuri bado hawajaelewa tatizo lenyewe. Usagaji hauwezi kuondoka kwa kukazana, msagaji hata akazwe vipi, bado atamwona mwanaume ni boya tu. Usagaji ni hatari mno kuliko watu wanavyofahamu ndomana wanawake hawawezi tena kuwa na mahusiano ya kawaida na wanaume wakishatumbukia kwenye usagaji.
.
2-Kiroho: Umeshawahi kuona mnyama yoyote msagaji? Kwanini wanadamu tu? Kwa sababu ndani ya wanadamu kuna roho chafu zinawasukuma kufanya mambo machafu. Wasagaji wanaichukia hii hali na wanatamani waache lakini hawawezi kwa sababu wako kwenye kifungo cha kiroho. Kuna wadau wanasema ni tatizo la kuzaliwa, mimi nasema HAPANA. Mungu hawezi kumuumba mwanamke akampa hisia za kiume, kadhalika hawezi kumuumba mwanaume akampa hisia za kike. Kuna roho chafu zinawaingia watoto tangu wakiwa tumboni, bila wazazi wao kujua. Wanapoanza kuona mabadiliko mfano mtoto wa kike kupenda vitu vya kiume na wa kiume kupenda vitu vya kike, huona ni jambo la kawaida. Kumbe ile ni dalili ya awali kwamba tayari huyu mtoto ameshaingiwa na roho chafu, inatakiwa ikemewe imtoke haraka. Huyu binti bila kujua anaendelea kukua na hali hiyo bila kumwambia mtu mpaka anakuwa mtu mzima. Kila siku inakuwa ni mapambano ndani ya nafsi yake, anajiskia kufanya kitu fulani, je nifanye au nisifanye, nifanyeje, nan ani, atanielewaje, etc. Hatimaye siku moja anajaribu kufanya vile anavyojiskia….na the moment she tries it, she is hooked! Hawezi kuacha….ndomana dada anasema kuna ambao wako tayari kuvunja ndoa zao, wengine wahame nchi…Imagine that.
.
Kuacha hii kitu, ni kumgeukia MUNGU tu. Wanasaikolojia wapo ila hawawezi kusaidia kwa sababu huwezi kupambana na tatizo la kiroho kwa akili za kimwili.
 
Ni vyema ukafanya tafiti kuhusu tarifa yako, ma xio kukulupuka kuitangazia UMA, samahan lkn
 
Back
Top Bottom