N Noahs Ark JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,138 Reaction score 3,886 May 12, 2025 #21 Tman900 said: Mke wangu, akileta huo Ujinga namrudisha kwao Faster. Click to expand... Utarudisha wangapi mkuu,unamvumilia
Tman900 said: Mke wangu, akileta huo Ujinga namrudisha kwao Faster. Click to expand... Utarudisha wangapi mkuu,unamvumilia
Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 969 Reaction score 3,067 May 12, 2025 Thread starter #22 Good-bye said: Utarudisha wangapi mkuu,unamvumilia Click to expand... Unavumilia Ujinga unakopa kwa sababu zipi.
Good-bye said: Utarudisha wangapi mkuu,unamvumilia Click to expand... Unavumilia Ujinga unakopa kwa sababu zipi.
N Noahs Ark JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,138 Reaction score 3,886 May 12, 2025 #23 Tman900 said: Unavumilia Ujinga unakopa kwa sababu zipi. Click to expand... Kununua mahitaji ya ndani ambayo humpatii
Tman900 said: Unavumilia Ujinga unakopa kwa sababu zipi. Click to expand... Kununua mahitaji ya ndani ambayo humpatii
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 May 12, 2025 #24 Mbaga Jr said: Unakuta mwanamke ana kifaa ambacho hajakitumia tangu amekinunua miaka mitano iliyopita na bado anacho ๐ฅ Click to expand... Na ukimuomba anakunyima
Mbaga Jr said: Unakuta mwanamke ana kifaa ambacho hajakitumia tangu amekinunua miaka mitano iliyopita na bado anacho ๐ฅ Click to expand... Na ukimuomba anakunyima
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,177 Reaction score 104,784 May 12, 2025 #25 Kapeace said: Na ukimuomba anakunyima Click to expand... Anakwambia nilikuwa nna mpango wa kukitumia jioni ๐
Kapeace said: Na ukimuomba anakunyima Click to expand... Anakwambia nilikuwa nna mpango wa kukitumia jioni ๐
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 534 Reaction score 661 May 12, 2025 #26 Tman900 said: Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi Click to expand... We ulisikia wapi
Tman900 said: Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi Click to expand... We ulisikia wapi
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 May 13, 2025 #27 Mbaga Jr said: Anakwambia nilikuwa nna mpango wa kukitumia jioni ๐ Click to expand... Uchoyo tu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 May 13, 2025 #28 Nuzulati said: Madeni yana changamsha akili mkuu na ukiona unakopesheka basi una akili timamu . Umenikumbusha kesho nina rejesho ASA ๐๐๐๐ Click to expand... Ukimaliza nikopee
Nuzulati said: Madeni yana changamsha akili mkuu na ukiona unakopesheka basi una akili timamu . Umenikumbusha kesho nina rejesho ASA ๐๐๐๐ Click to expand... Ukimaliza nikopee
Shuku_ Senior Member Joined Sep 26, 2019 Posts 191 Reaction score 273 May 13, 2025 #29 Nuzulati said: Madeni yana changamsha akili mkuu na ukiona unakopesheka basi una akili timamu . Click to expand... Si kweli. Hiyo ni kauli ya kuwapa USAWA watu ambao hawapo SAWA.
Nuzulati said: Madeni yana changamsha akili mkuu na ukiona unakopesheka basi una akili timamu . Click to expand... Si kweli. Hiyo ni kauli ya kuwapa USAWA watu ambao hawapo SAWA.
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,831 Reaction score 9,038 May 14, 2025 #30 Tman900 said: Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi Click to expand... Unateseka ukiwa wapi bro?
Tman900 said: Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi Click to expand... Unateseka ukiwa wapi bro?