Vicoba,upatu na kausha damu ni chanzo cha ongezeko la wadada wanaojiuza Telegram,
Kwa kumbukumbu zangu za kununua madada wa Telegram wengi wao huwa nawasikia wakipiga simu au kuwasiliana na wenzao kuhusu michezo,vicoba. Unakuta mtu ana michezo kumi 10000 kila siku kila mmoja ni lazima ajiuze tu