Wanawake wanapenda kudanganywa sana

Wanawake wanapenda kudanganywa sana

Huo ni ujinga wa hali ya juu.

Nyinyi ndio mkiajiriwa mtavujisha siri ya ofisi, mambo ya ofisini mtaenda kuongelea vijiweni.

Au ukioa mambo ya ndani ya familia utaenda kusimulia watu wa nje.
 
Si nilianza kudate ndo nikaolewa nae yaani mzee kanizidi miaka 20 na katika historia yangu nilikua nadeal na wazee tu.

Haaa, hata yule uliyechepuka nae kumbe alikua mzee???
 
yan bora wazee kabisa no strecc ela za kutosha na mnakua na mda maalum cio hawa vinuka mkojo
 
Back
Top Bottom