wanawake wanaosema NO, wamekwenda wapi siku hizi?

Simple!!
Sina hakika na sensa za zamani zilitoa majibu gani, but kwa sasa idadi ya wanawake ni wengi SANA kuliko sisi wanaume.
Yaani wanaume tunaweza kuamua kua na Nyumba ndogo hata mbili mbili na bado wanawake wengine wakabaki bila wanaume.
Kwa hiyo kama wanataka kubaki single milele waendelee kubana waone!!!
 
Anhaa kwahiyo unataka kusema kama trend itaenda hivi kuna uwezekana hata zile NO zilizobaki zikapotea kabisa in no time eeh?
 
sasa hapa kila mdada anadai hatongozeki, inamaana hao wanaopata nafasi kwenu wanapataje? Kuweni wakweli jamani mana hata mazingira tu yanapingana nanyi.
I like this, unajua katika wale wote wanaokuwa wakali ukifuatilia kwa undani unaweza kuta wameshakuwa na relationships zaidi ya moja sasa sijui ukali wao unakuja kutokea angle ipi?
 
Hai-make sense wakisema NO wakati wanataka! Ladies, huyu asiwadanganye kuwa mnasema ma-NO, NO; mtakuja kujutia bure.
 
Hivi takwimu za mwaka gani zimethibitisha kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake??Hii ni dhana tu hakuna mwenye uthibitusho.
Wanaume waliotayari kuoa ndio wachache na wanawake waliotayari kuolewa ni wengi.

Wanawake wanawahi kufikiri kuolewa,utakuta 22,23 mwanamke yuko tayari kuolewa,
Wakati mwanaume mpaka miaka 30 anajiona bado,kutokana na sababu nyingi ikiwemo uchumi,kutomaliza starehe(kuchukulia ndoa kama jela),kuogopa majukumu nk.

Kwa hiyo hawa wanaohitaji kuolewa wanazidi kuongezeka na waliotayari kuoa ni wachache.

Na watu wanaosema kuwa wanawake ni wengi,utakuta wanaangalia kigezo hiki peke yake,lakini kwa idadi kama jinsia ya ke na
me,hamna aliyethibitisha kama wanaume ni
wengi.

Kwa hiyo kusema wanawake hawasemi no kwa kuwa ni wengi si kweli,pia wapo wanawake wanaokuwa na zaidi ya mwanamme mmoja kwa wakati mmoja na akiwa mzuri ndio kabisaaaa,wanaume ni kugongana,hakuna cha sijui wanawake wengi...wala cha nini.
 
Kiasi fulani you have a point there
 
hata zamani(na mie sikuwepo) wazazi wote(walioenda shule) walikuwa wanashika namba 1 tu darasani.
hahah...........aisee umenifurahisha hata mm wazee wa huku mtaani walishanichosha kila mtu anasma alikuwa wa kwanza darasani sa cjui nani alikuwa wa mwisho.haha
 
Inaonekana zamani namba iliyokuwepo ni moja tu hizi nyingine zimekuwa inverted hivi karibuni
 
Kuna mtu anaitwa frank humu,jana alikua analalama kasugua soli 3 yrs na bado hajakubaliwa. Wanawake wenye msimamo wapo tu, ukiishi tandale kila mwanamke amejichubua huwezi kusema wanawake wote wanajichubu!msiwe stereotypes banaa!
 
Huyo ana matatizo mawili makubwa,
1. Anaishi kwenye dunia ya enzi zile
2. Huyo mwanamke anayemfuatilia keshamuona hivyo so kaona hana mpango na atafuatilia mpaka atazeeka hatampata
 
Back
Top Bottom