Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Wapo wanawake humu JF ni kiboko,wana midomo yenye shobo hatari,tena kwenye jukwaa la MMU na JLW ndio balaah.

Na hawa wafuatao ndio wanawake wenye kutumia maneno yasiokuwa na sitaha JF.
1. Madame B
2. masai dada
3. Evelyn Salt
4. Jestkilla

Kama wapo wengine wabandike hapa wajijuwe kwa kuchafua hali ya hewa.
 
If they can`t swallow facts, let them eat fiction and sometimes they have options, but no choice to stop what they're attempted to speak out.
 
Achana nae ana hamu huyo bila kumshikia dildo hawezi kukuelewa
 
Mkuu kwani kumuita mtu malaya au kahaba lazima uwe umempitia?

Mfano, kwa kua hujalala na wale wadada wanaojiuza pale kinondoni huwezi kuwaita malaya au makahaba?


Unaelewa tofauti ya ulichoandika na uhalisia wa post niliyokwot? Kumuita mtu malaya au kahaba ni uwe either umefanya nae ukahaba au unaiona site kila siku akiufanya ukahaba. Sasa huyu kaja hapa..je anafahamu true identities za hao anaowataja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…