wanawake wanaoolewa They are not SMART

wanawake wanaoolewa They are not SMART

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
 
Siyo kweli hata hao brave unao wasema wanatamani kuolewa basi tu ndiyo hawaja bahatika, walioolewa wana uvumilivu zaidi kwa sababu wanajua huko nje kulivyo. kama kuolewa siyo issue angalia hizo nyumba ndogo zinavyolazimisha kuhalalishwa!
 
Married woman are inferior,they dont know their right.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
Sijui umeongea hivo uki-consider kua na wewe ni mtoto wa mtu ambaye umetokana na mama na baba, labda ungespecify kusema sio wanawake wote maana utajikuta unamtukana hadi mama kua hayuko Smart... Kua specifia bac kidogo au sio?
Alafu bila shaka uko single maana kama u r also married basi You are not SMART! Au una bif na mtu labda ulikua engaged afu kikaumana!! vipi imekuaje kuaje ukaja na hii topic, tufunulie zaidi kidogo... No offence lakini usichukulie comment hii vibaya
 
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.

MANUNGAYEMNBE UTAYAJUA TU

sio kila mwanamke aliyeolewa ananyanyasika kama unavyotaka watu waamini

Komalia maisha sahihi na watu sahihi... sio huu ----- uliouandika hapa leo; maana smart women know how to manage their lives, married or not --- and succeed in life
 
Whaaaat! UMENOAAAA! wanawake wenye ndoa wako smart kishenzi yani! Na ndo mana mwenzako kawekwa ndani! Hivi unadhani ndoa mcheezo eee! Neno 'mke wangu' ukiliskia kwa mume wa mwenzio unajiskiaje? Sifa kubwa ya mwanamke kwa taarifa yako KUOLEWA kuwa NA MUME na FAMILIA YAKO mwenyewe! Siyo kuwekwa kimada a.k.a NYUMBA NDOGO KULA MAKOMBO loh!
 
MANUNGAYEMNBE UTAYAJUA TU

sio kila mwanamke aliyeolewa ananyanyasika kama unavyotaka watu waamini

Komalia maisha sahihi na watu sahihi... sio huu ----- uliouandika hapa leo; maana smart women know how to manage their lives, married or not --- and succeed in life
Huyu Zahara White atakuwa bonge la Nungayembe. Sasa ameona ajifariji kwamba yeye ni Brave Woman! Hata Mafiaso imegundulika kwamba siyo brave kama watu wanavyowadhania.
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna nungayembe as you put it, ama small hausi ambayo inafaa kupandishwa daraja ikawa big hausi. Ila huu ni unga wa ngano ulioshakandwa, ukaanguka. The only use ni kuzibia tundu kwenye kikaango! Haufai!
Huyu Zahara White atakuwa bonge la Nungayembe. Sasa ameona ajifariji kwamba yeye ni Brave Woman! Hata Mafiaso imegundulika kwamba siyo brave kama watu wanavyowadhania.
 
Last edited by a moderator:
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!

baelezee!bidada alafu ajiulize nyumba kubwa ngapi zinajitangazia kuwa mume anacare?co mambo mapya kwao ni daily sasa yeye akimcare siku 1 kelele mpaka mtandaoni.
 
kwani eti wanaume wasioa nao ni manungayembe au? sifa ya mwanamke kuolewa na ya mwanaume?,ya nini kufunga ndoa kama kucheat kupo?na kumehalalishwa kwa wanaume?
 
Huyu hajui watu wanakesha kwa kuomba na wengine kwa waganga kwa ajili ya kupata ndoa
 
Back
Top Bottom