Wanawake wanaoendesha magari

Wanawake wanaoendesha magari

mi huwa najitahidi kumaliza wese lote wikends,akitaka kutoka tank empty,af sina hela.basi tunashinda home wote
 
Ni ulimbukeni wa magari tu hamna lolote! Miye mbona najituliza zangu nyumbani na mume wangu tena wikends kwa raha zetu hao wanayao!! Mweeeeeeh! Ha ha ha!

wewe umeolewa lini?acheni mambo ya maigizo
 
ili baba uheshimike nyumban lazima uwe na ubabe kidogo vonginevyo utapigwa kidole halafu unachekelea,ukitaka kujua baba kakamilika ni pale anapoingia seblen kama watoto walikuwa wanacheza alingo na azonto fasta wanapotelea kwenye bed room zao bt ukifika watoto hawana tyme na ww ujue hujakamilika.piga marufuku wife kutokatoka wokend bila reason za msingi ikipidi tumia ubabe nan kakuambia punda anaenda bila fimbo? to use diplomatic for women is epual to drink pure cold watter sure i told you
 
  • Thanks
Reactions: ram

Ok Mgeni umesomeka
 
Basi tunatofautiana, mie mwenzenu naendesha gari j3 hadi ijumaa, so huwa nachoka, ninachofanya kama jmosi nataka kwenda sehemu wala sihangaiki na gari nalinapaki nalo lipumue, najipandia zangu daladala, nikasikie na visa vya kwenye daladala, jumapili nitaendesha kwenda kanisani na familia nikirudi napaki, kama nitatoka wala sitoki na gari ni daladala au bodaboda, huku kwetu bado bajaji sio nyingi. Hao wake zenu wenye misele na magari wikiend ni malimbukeni tu
 
hasa akiwa kanunua kwa pesa yake!!!
 
mwanamke akivaa kimni hlf nikimuona anaendesha gari , i find it very sexy
 
Back
Top Bottom