Wanawake wanaoendesha magari

Wanawake wanaoendesha magari

Mwambie rafiki yako asolve matatizo ya ndoa yake.

Asisingizie wanawake wenye magari
hana matatizo na mke wake kama yapo ni ya kawaida tu kama ya watu wengine. Jamaa ni mstaraabu sana, anatamani week end awe na mke wake home lkn mke ndiyo hivyo tena

 
tangu nimnunulie gari wa kwangu nimepumua mno safari za weekends! yani nilikuwa sipumui, cha muhimu nilimwomba tu anilindie heshima yangu na usalama wa gari

mpwa NAJUA WEWE NDO UMEMLAZIMISHA ILI UWE UNAENDA MWENYEWE PALE KWA WAFARANSA NA ULISEMANUTANIPELEKA LAKINI WAPI
 
Si kweli ni tabia ya mtu mwenyewe anapenda kuzurura na gari. Hivi siku hizi mfano Dar mabarabara yalivyofungwafungwa, mafoleni kuna raha ya kuzurura bila kwenda sehemu za msingi.
Ila nimecheka hapo anapeleka watoto hospitali japo hawaumwi. Akilizoea ataacha ataona kitu cha kawaida tu.
 
Si kweli ni tabia ya mtu mwenyewe anapenda kuzurura na gari. Hivi siku hizi mfano Dar mabarabara yalivyofungwafungwa, mafoleni kuna raha ya kuzurura bila kwenda sehemu za msingi.
Ila nimecheka hapo anapeleka watoto hospitali japo hawaumwi. Akilizoea ataacha ataona kitu cha kawaida tu.
Sawa nimekupata bantu lady
 
Hilo ni jambo la kweli kabisa maana hata mie linanisumbua sana. afu kuna hiki kitu unakuta mwanamke anaendesha gari kavaa min sketi afu mapaja yote nje ukimwambie ugovi yani kila siku tunagombana sijui nimfanyeje jamani?

si mkeo, kwani mnabeba abiria kwa gari yenu? I love mini skirts
 
Heheheee..... Kuzurura ni tabia tuu ya mtu!!

Hata asipokuwa na gari atapanda bajaji au bodaboda ili mradi tu azurure..!!
 
Kama mke atatoka tu na funguo mkononi bila mume kujua safari ya mkewe na mume huyo akaridhika kubaki anacheza na watoto nyumbani huku akipeleka malalamiko kwa rafiki/jirani basi mwenye tatizo hapo ni mume!!!
 
Hakatazwi kutoka ila mpaka mume anasimulia nadhani safari zenyewe tena nyingi siyo za maana. Au wewe miss chagga umeona ni sawa?

Mume anashindwaje kukemea safari zisizo za maana kwa mkewe?
 
Back
Top Bottom