huwa anaaga, lakini anatoa visingizio kibao vya kutoka, mume wake hajasema kwamba anamshuku na mambo mabaya huko anakokwenda bali ni tabia yake yakutokupenda kukaa home hasa week end, hii ni story tu ya kawaida wanaume wanapozungumza kwani haiusiani na mambo yao ya ndani sana...hivyo mume hana matatizoKama mke atatoka tu na funguo mkononi bila mume kujua safari ya mkewe na mume huyo akaridhika kubaki anacheza na watoto nyumbani huku akipeleka malalamiko kwa rafiki/jirani basi mwenye tatizo hapo ni mume!!!
kumbe ndiyo hivyo
Ameshamueleza mkewe lkn tabia hiyo inaendelea tu...sawa EnnieMume anashindwaje kukemea safari zisizo za maana kwa mkewe?
Natamani awepo ili azurure, bado kitambo kidogo tu atapatikanaWee mkeo hazururi???
Ameshamueleza mkewe lkn tabia hiyo inaendelea tu...sawa Ennie
Ameshamueleza mkewe lkn tabia hiyo inaendelea tu...sawa Ennie
siunajua tena mambo gender? baadhi ya wanaume wanawadekeza wake zao, lkn kama huyu mwanaume angekuwa ametokea ule mkoa wa jirani walai pangechimbika!Watu tunatofautiana mkuu,mwanaume akemee kitu na kiendelee kufanyika tu!!
Kama angenisamehe sana basi ni kuchukua hizo funguo,na uso wake ungeniambia tu nisiulize zilikohamishiwa!!!
Mwanaume hajaamua kukomesha hiyo tabia mkuu.
Kweli lakini, but Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kofuli.....Sio maneno mazito SOCIOLOGISTTZ
Ulimbuken wa mwanamke na kuwa na tabia za kuzurura kama kuku wa kienyej mafoleni kbao dar
Ana jionyesha huyo kwa marafiki zake kwa maana ndo Mara ya kwanza kuwa na gari/ au ndo mwanamke mzururaji bila sababu maalum
Na atambue kuzurura huko anabomoa nyumba yake kama mama wa familia hana mda wa kukaa na mumewe
Haya Ichana, mimi siongezi kitu hapo nayachukua kama yalivyo, sasa sijui nitafute siku nikampige kinywaji halafu nimpe ushauri na mawaidha niliyoyapata kutoka huku?Best huu ni udhaifu
I Hate this kind of man
It means hana say kwa mkewe
Je anatambua kama baba wa familia yy ndo mwenye decision ya mwisho?
ukiona mwanaume hana kauli na akitoa maamuz/ au maagizo hayafuatwi jua kuna tatizo kwenye hiyo ndoa
Mwanamke ni ubavu / msaidizi wa baba atambue yy baba ndo kiongozi
Sasa tunaongea lugha moja.siunajua tena mambo gender? baadhi ya wanaume wanawadekeza wake zao, lkn kama huyu mwanaume angekuwa ametokea ule mkoa wa jirani walai pangechimbika!
Best huu ni udhaifu
I Hate this kind of man
It means hana say kwa mkewe
Je anatambua kama baba wa familia yy ndo mwenye decision ya mwisho?
ukiona mwanaume hana kauli na akitoa maamuz/ au maagizo hayafuatwi jua kuna tatizo kwenye hiyo ndoa
Mwanamke ni ubavu / msaidizi wa baba atambue yy baba ndo kiongozi
tehe! tehe! ......Dinaaaaaa!!!Labda mahaba niue mnawafultenkisha, mafuta nijaze kwa senti za ngama n'kahereke na safari zisizo na ratiba?!
Tatizo sio gari wala mke kujua kuendesha,huyo mume ni dhaifu na mke ameshamjua!!!
Mwanaume anashindwa kukemea tabia zinazomkera ndani kwake anaenda kulalama kwa marafiki!!!
Shame!![/QUOTE]Uhuru huo Uliopitiliza...lkn ndiyo hivyo na ndiko tunakoelekea, wanawake nao wanataka haki sawa what do you expect?
inabid kunyang,anywa hayo magar kwa lazima
Tatizo sio gari wala mke kujua kuendesha,huyo mume ni dhaifu na mke ameshamjua!!!
Mwanaume anashindwa kukemea tabia zinazomkera ndani kwake anaenda kulalama kwa marafiki!!!
Shame!!