Sikiliza hujui akili ya mwanamke wewe...
It too late to use diplomasia
Tangia mwanzo mwanaume anaonekana ni dhaifu haiwezekani kama ni kiongozi wa familia utoe maamuz yasifuatwe
Ina maana
Mke hamweshimu mumewe
Hana kaauli
Gari la mkewe
Ndoa yao ipo mkao wa chura
Baba hasimamii kauli na maagizo anayotoa
Na kama ni ulimbukeni wa gar jipya isingechukua mda mrefu bila kuchoka hiyo mitoko isiyokuwa na maana
Mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya jamaa anakumbuka Leo kutumia diplomasia wakati mke kashajua jamaa hana kauli na anachosema sio lazima kukifuata