Wanawake wananuka shida siku hizi

Huo uandushi wa mlalamikaji sasa🤣🤣🤣🤣
Mbona kama wewe ndio unanuka shida!!

Anyway, kama hamtaki kuombwa nanyi msiombe. Usingeomba namba zake walaa yasingekukuta hayo. Namalizia kwa kusema hiviii, msisubiri kuombwa muwe mnatoa tu, ila msipotoa mtaombwa tu.
 
Aisee ni siku za mwisho kweli
 
Kitu cha bure ni salamu tu.
Hata kujamba kuna hitaji ushibe.
Nawashauri vijana kama hamna pesa za kuhonga ombeni papuchi kwa ndugu zenu hao ndio wana huruma na ninyi watawapa papuchi bure.
Sisi wanaume wa kweli tunafurahia kuombwa pesa pale tunapotaka kunyandua.(win to win situation)
 
Kama anakukera unamwacha TU,kwanini ugandane na mtu anaekunyima raha
 
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…