Hatupendi ila ni mazingira tu,ni njia ya kuwa more secure baba nanilii atanioa coz wengine hawaeleweki jamani,
hakuna mtu anataka mimba loh!
Ni bahati mbaya tu !!
kina dada wajanja sana siku hizi. akiona una mwelekeo wa kuoa na huku una sogeza kalenda, anaamua kukuachia ili aharakishe Ndoa. mimi
yalinikuta hayo.. na kweli sikuwa na namna ilibidi nitangaze ndoa haraka kabla kitambi hakijapata umaarufu.. nilifnya sherehe ndogo na ya maandalizi mwezi mmoja. namshuru sana mke wangu kwa ajili hiyo. sikua tayari kuoa mapema.. pia nashukuru sana alikua mwelewa hakutaka makuu tulifanya harusi ya garama ndogo haikusumbua watu kwa michango. bora ndoa harusi mapambo tu. mungu akitujalia uhai mwaka ujao tatatimiza miaka sita ya Ndoa na kwa uweza wa Mungu tutakua na mtoto wa pili pia.
Ni bahati mbaya tu !!
Ni bahati mbaya tu !!