Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Apr 10, 2017 #3 Ni tamaduni za kiafrika mkuu Shuleni siku wanakuja wageni mawe yanapakwa chokaaa. Kazini siku wanakuja wageni mpangilio wa ofisi utafikiri ndiyo inafunguliwa
Ni tamaduni za kiafrika mkuu Shuleni siku wanakuja wageni mawe yanapakwa chokaaa. Kazini siku wanakuja wageni mpangilio wa ofisi utafikiri ndiyo inafunguliwa
matyhans JF-Expert Member Jan 3, 2013 610 400 Apr 10, 2017 Thread starter #4 Loveeness78 said: Ni huyo wako Click to expand... wewe upo tofauti eti??
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,303 50,470 Apr 10, 2017 #5 at least strangers hide their are nut heads.....
mzeewakungoa JF-Expert Member Nov 26, 2016 4,969 13,919 Apr 10, 2017 #6 Ni katika jumla ya kuwakirimu wageni... Na hio inaprove kwamba wanawake ni wakarimu kuliko wanaume.
and 300 JF-Expert Member Jun 27, 2012 26,325 36,121 Apr 11, 2017 #9 Wanawake wengi ni pasua kichwa. Ukiwaendekeza utakuwa chizi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,575 154,734 Apr 15, 2017 #13 Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw
Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 67,020 168,014 Apr 15, 2017 #14 Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911
Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911
mzeewakungoa JF-Expert Member Nov 26, 2016 4,969 13,919 Apr 15, 2017 #15 Smart911 said: Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw Click to expand... Naona mapenzi moto moto..... Taratibu lkn.... Muwe ms pause ili isichuje !!?ha ha ha. mahondaw said: Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911 Click to expand...
Smart911 said: Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw Click to expand... Naona mapenzi moto moto..... Taratibu lkn.... Muwe ms pause ili isichuje !!?ha ha ha. mahondaw said: Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911 Click to expand...
mzeewakungoa JF-Expert Member Nov 26, 2016 4,969 13,919 Apr 15, 2017 #16 Smart911 said: Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw Click to expand... Muwe na pause ili isichuje mahondaw said: Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911 Click to expand...
Smart911 said: Mimi na mahondaw wangu kila siku ni sikukuu... Mambo matamu kila siku...kuanzia msosi mpaka... Cc: mahondaw Click to expand... Muwe na pause ili isichuje mahondaw said: Naanzaje kuwajali wengine kuliko my man!! Nampa priority kwa kila kitu Charity begins at home Cc Smart911 Click to expand...