Wanawake wanafiki sana

We do that to help u guys boost ur male ego!

lol that cool and nice of you but dont stop there help me to help you to get into the real orgasm!!!
ahahaaaaaaaa ingawa kuna mtu alisema kuna watu wengine hawafundifiki hata kwa miaka alfu holela holela
 
Kwa kweli hata sijui ingawa nimeshawahi kushuku...

Anyway it is not a big deal, na nilijibu vile kumuannoy Silver. Well mwanamke anaweza afake kama hamjazoeana sana hasa pale ambapo hakuwa ready kwa sex. Lkn mkishazoeana atakuambia if she is not up to it, au hata asipocome kwa ajili ya mistress utajua n it will be okay!
 
Dear, ungesema YOU do that, sio wote...

may be she is talking majority ,
and she is the only one saying this
Also hopeful it doesn't mean she cant the real one
May be it just the one anayetumika kwa muda huo cant get her there lol!!
 
Anyway it is not a big deal, na nilijibu vile kumuannoy Silver. Well mwanamke anaweza afake kama hamjazoeana sana hasa pale ambapo hakuwa ready kwa sex. Lkn mkishazoeana atakuambia if she is not up to it, au hata asipocome kwa ajili ya mistress utajua n it will be okay!

Alaaa, kumbe!! Hebu funguka zaidi basi....mtu utajuaje kama mwanamke ana-fake? Na kama ha-fake utajuaje?
 
ahahaaaaaaaa ingawa kuna mtu alisema kuna watu wengine hawafundifiki hata kwa miaka alfu holela holela

Kuna Uzi mwingine mtu kaja na uhanithi wa kike, no comment there coz sijui; labda huyo unayesema 'hafundishiki' ndio yuko kwenye kundi hilo.

Mimi naamini kama kuna mapenzi ya dhati, na kuaandaana vya kutosha na kuhusisha feelings while doing it mwanamke uwezekano wa kucome ni mkubwa! Inaweza isiwe siku zote, lkn hizo siku chache hakutakuwa na haja ya kufake! A man should not feel too bad kama mara chache chache asipomfikisha mpenziwe!
 
Una maujuzi wewe daaah!
 
Alaaa, kumbe!! Hebu funguka zaidi basi....mtu utajuaje kama mwanamke ana-fake? Na kama ha-fake utajuaje?

Kama ni mpenzio wa muda mrefu, uzoefu utakisaidia. Lkn kama ni mpenzi mpya unless ameboreka hadi akaanza kudry inthere huwezi gundua!
 
Kwa hiyo kama akianza kuwa mkavu wakati gemu likiendelea hiyo ni moja ya dalili kuwa hana mzuka?
 
Back
Top Bottom