Mkuu ndo umegundua leo? Kwani wewe hujawahi kulamba mke wa mtu? Kama ulivyosema,ni kweli wake za watu kibao wana cheat left n right.We waone hivo hivo hand in hand na waume zao jumapili,kinachotembea vichwani mwao wanakijua wenyewe.Halafu kwa visingio usicheze na mwanamke,maana ukishamtafuna out of curiousity unamuuliza kwa nini ana cheat....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu... aisee wakati ukweli ni nye...ge zao tu zinawasumbua hawana lolote.Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni wasiri sana,ninayo mfano,kuna rafiki yangu ni player sana,ametembea na mke wa mtu na hadi leo huyo mke wa mtu bado anampigia simu kutaka warudie waliyoyafanya mara ya kwanza na huwezi amin huyu mama akiwa kwenye familia yake huwez mzania kama sio yeye, ana watoto wanne,yaan ukimuona na mumewe utasema hawa watu wanapendana kweli lkn kumbe huyu na mumewe hata hajui ,mama ni mchafu kweli,sasa nimekuja kugundua kitu wanawake ni rahis kujificha sana kuliko wanaume ndio maana watu wengi wanajua kama wanaume ni macheater sana kulikon wanawake,lkn si kweli wanawake ni wasiri sana ni watu wa chini chini,nyi wadau mnalizungumziaje hili??mdau wenu
ndo ukweli mkuu,wametuzaa lakini..........Aiseee!PHP:....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu...
Hii ni kali yake!
Mara Jogoo akiwika mara moja hawiki tena oooh ,shem upo usiseme kama mie ndo nimepost hapaAiseee!PHP:....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu...
Hii ni kali yake!
aiseee hawa watu hawana kanuni,,nilimulizaga huyu rafiki yangu ni nin kinapelekea hawa kufanya hiv?anasema alishamuulizaga akamwambia hamna sababu,,sasa najiuliza inakuwaje?kwa wanaume navyojua mim sis tumeumbwa na kutamani tukiona namba 8 sura nzuri basi hapo lazima tutamani lkn hawa watu hawana kanuni aisee
......... unamuuliza kwa nini ana cheat....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu... aisee wakati ukweli ni nye...ge zao tu zinawasumbua hawana lolote.
ndo ukweli mkuu,wametuzaa lakini..........