roby2006 JF-Expert Member Sep 30, 2011 421 113 Feb 27, 2012 #22 Hujawajua wanawake wewe unatoka nae masela wamekaa maskani wanakuangalia unavyojitanua nae wanajisemea kimoyoni ungejua Gwandu said: Mimi wangu ha-cheat!!! msintie kihoro! nnkashindwa kutoka nae Jpili bure, nkiogopa kuchoreka! Click to expand...
Hujawajua wanawake wewe unatoka nae masela wamekaa maskani wanakuangalia unavyojitanua nae wanajisemea kimoyoni ungejua Gwandu said: Mimi wangu ha-cheat!!! msintie kihoro! nnkashindwa kutoka nae Jpili bure, nkiogopa kuchoreka! Click to expand...
Angel Msoffe JF-Expert Member Jun 21, 2011 6,781 1,639 Feb 27, 2012 #23 wanaume hawana aibu wala haza na 90% yao wananyumba ndogo