Hizo pesa wanazojimaliza zinachomolewa kwenye wallet zetu akitoka huko anakuja kukudai matumizi.
Hawa matapeli wa kiimani wamewafanya wanawake fursa na kuishia kuwaumiza wanaume.
Halafu wanapotosha uhalisia ya kwamba ibada ni jambo ambalo linatakiwa lizingatiwe na kufanywa na wanaume na siyo hao wanawake.
Kwa sababu wameona kuna ugumu kuwakamata wanaume akili kiboyaboya wamejikita kwa hao wanawake ambao kimsingi hawana haki kamili ya kiibada bali kwa kuwafuata wanaume.