- Thread starter
- #41
0789 519483Nipe namba ya Ex
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Atakufa kifo kibaya mbwa huyo ' naona hammalizii jinsi inavyotakiwa
😂😂😂
Naona umefurahi kweli mkuu😛😛😛😛😛😛😛
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Na paka kishakufa aliwe na funza na funza aje afanywe mbolea ya matembele, na hayo matembele ayanunue kwa mchuuzi na ayapike na apitwe na usingizi yaungue. Yakishaungua ayatupe jalalani na kunguru ayale na kunguru auliwe halafu...........
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nogesha kabisa, "kumuoa mwanafunzi wa huyo demu"Ajabu siyo kumuombea mwanaume mabaya Bali kutoa mimba ya mwanaume tena bila hata taarifa. Hata Kama ningekuwa Mimi ningempiga chini at the first place.
Namuunga mkono jamaa kwa kumuacha huyo demu na kuamua kuoa mwanamke mwingine.
Heeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!Jina Grace ni jina zuri sana lakini kwa umri wangu huu wengi wenye jina grace nilio bahatika kuwafahamu walikuwa awajatulia kabisa. Wana majanga ya kufa mtu. Ni kati ya watu wanao ongoza kwa uzinzi, ulevi, mimba na utoaji mimba, nk.
Jina Grace ni jina zuri sana lakini kwa umri wangu huu wengi wenye jina grace nilio bahatika kuwafahamu walikuwa awajatulia kabisa. Wana majanga ya kufa mtu. Ni kati ya watu wanao ongoza kwa uzinzi, ulevi, mimba na utoaji mimba, nk.
Mwambie Mhadhiri asubirie upepo! Utamletea mwenza asihofu