- Thread starter
- #21
Huyu Grace mie namchukulia kama muuaji tu.Mkuu sawa kilichotokea si kizuri na inaonesha ni jinsi gani huyo grace alivo na hasira kali sana, iakini kuna vitu vingene kabla ya kutoa ushauri, kutoa point ya msingi INABIDI TU UCHEKE KWANZA . then mengine ya masingi yafuate!
Sisi wakatoliki tuna sala ambayo tunapoungama makosa, kuna mistari fulani inasema hivi:
Nimekosa mimi KWA MAWAZO, KWA MANENO, KWA MATENDO na KWA KUTOKUTIMIZA WAJIBU.
Sasa mie naona kama vile Grace ameua kwa MAWAZO!!