Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,532
- 14,893
Unaandika huku unaogopa
Wakutanishe wote ili kila mmoja aongeye anachotaka kuongeya na wewe mkiwa pamoja..Wanawake bwana wana vituko saana
Leo ex wangu kanikuta na mpenzi wake wa sasa. Mimi sikujua kama huyo jamaa ndo boyfriend wake tulikutana tu kwenye mishe mishe zetu tu.
Sasa leo nilikuwa kwa msela demu sijui kama alikuwa na kuja kugongwa akanikuta pale dah. Akamuita jamaa ndani mimi nikasepa zangu
Sasa nilivyo fika home jamaa aka ni text eti ana hitaji kuongeya na mimi. Demu naye ame ni text kuwa ana hitaji kuongeya na mimi
Sasa apa ndo najiuliza hawa wameongeya nini kuhusu mimi
Na nina shindwa kuhelewa ni ongeye na nani kwanza
HahahaaaaaYaani unaongea kama unapepesuka
HahahaaaaaKuongeya
Aongeye
Haya, nendeni muongeye
HahahaaaaaTozo za Bi Mikopo zikiendelea hivi hadi mwakani, it's true, tutawapoteza wengi kwa staili hii ya kuchanganyikiwa.
Yaani unaongea kama unapepesuka
Mixer kutetemeka[emoji1787]Yaani unaongea kama unapepesuka
Sasa apa ndo najiuliza hawa wameongeya nini kuhusu mimi
Na nina shindwa kuhelewa ni ongeye na nani kwanza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Husihongeye naho.. awaheleweki haho... Hahu laha, kila mmoja muhulize sababu hasa ni nini ya wao kutaka kuhongeya na wewe... Yahani wakupe hajenda mapema hili hujuhe na hujihandahe mapema jinsi ya kuhongeya naho