msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Nyumbani kuna gari mbili hataki kuendesha, asubuhi anataka nimpeleke ofisini jioni nimpitie, mimi natoka saa tisa na nusu yeye anatoka saa moja usiku.
Nakaa nje wee kama mlinzi akitoka tunaondoka kufika home ni saa tatu saa nne. Weekend pia anataka nimpeleke mimi weekend siendi kazini, mpaka kumchukua weekend anataka nikamchukue.
Leo nimechelewa kidogo kumchukua hata kunisalimia hajanisalimia amerudi amevuta mdomo anachat mpaka muda huu tu sebuleni. Hivi hapo kosa likowapi? Kama sio habari za kipuuzi kabisa sema nimenyamaza tu.