apo chacha !!! cha kuniweka msukule yahusu?
asante sana kwa ANGALIZO ...ntabanana nae
nina semina bgmy twnd,naenda ara twend naenda wap sjui wakat wa wknd pamoja...i
asante kwa kuumbua wenzako
Tatizo sio kumganda kama luba, je mna mazoea ya kutoka weekend pamoja?
mtoko sio lazima weekend....
Tatizo sio kumganda kama luba, je mna mazoea ya kutoka weekend pamoja?
kama hakuna inabidi kujifunza