Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,592
- 30,877
Achana na mapenzi yatakupotezea muda, maisha si mapenzi tu.Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!
Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!
-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa
Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!
-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie
Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Siyo wewe tu,ni wanaume wote... maana wanaitafuta kwa shida.Anayetoa ni asili yake tu ya utoaji na utu ndani yake.( Hivi ndugai kazikwa nazo eti?)Sipendelei kabisaa kuombwa pesa. Nina allergy na hili suala hasa toka kwa wanawake
Umerudi mapema sana boss!Penzi tunaomba, kwanini pesa tusiombe mkuu?
🤣🤣🤣Nilirudi sikuileile mkuu...Umerudi mapema sana boss!
Winga 😂😂Nyie mkichoka kuomba vibumbu na sisi tutachoka kuomba pesa..!!
Kweli kabisa mkuu.Tulia na mke wako mkuu. Hivyo vitu anavyotaka mchepuko ukimpa mkeo nusu yake tu wala hutafikiria kuhangaika. Michepuko tupaipenda tu kwa sababu ya mbususu ila gharama zake ni kubwa. Kutelekeza familia, kuchezea hela, magonjwa etc
We iblock tu, ila nyege zikikukamata vizuri utaiunblock na hela utatuma 🤦🏽♀️Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Kinu na mpini ni asili,pesa ni man made!kwanini kuidhalilisha asili na man made!!?Penzi tunaomba, kwanini pesa tusiombe mkuu?
Ndugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?Kinu na mpini ni asili,pesa ni man made!kwanini kuidhalilisha asili na man made!!?
Asili Kwa asili hupeana bila masharti na vina noga!kwanini man made kuhusisha!!?
Ha ha ha....!🤣🤣🤣We iblock tu, ila nyege zikikukamata vizuri utaiunblock na hela utatuma 🤦🏽♀️
Ni sahihi. Japo mi sio bahili pia, nisichopenda ni ile hali ya mtu kunifanya kama chumo, ila ukitulia tu aaah mbona sana sana ,maana mwenyewe napenda kutumia hela zangu so ukiwa karibu na uwaridi, lazima utanukia tu.Siyo wewe tu,ni wanaume wote... maana wanaitafuta kwa shida.Anayetoa ni asili yake tu ya utoaji na utu ndani yake.( Hivi ndugai kazikwa nazo eti?)
Mtusamehe wakuu
❤️Huu ndiyo uanaume sasa,afu mwanamke ukishamcare hata Mara moja anajua tayari huyu mtu ana utu hata kama hunaNi sahihi. Japo mi sio bahili pia, nisichopenda ni ile hali ya mtu kunifanya kama chumo, ila ukitulia tu aaah mbona sana sana ,maana mwenyewe napenda kutumia hela zangu so ukiwa karibu na uwaridi, lazima utanukia tu.
Ila yale masuala ya "baby hiki, baby sina kile, baby lunch, baby nini..." aaah hapo utanichosha mapemaa sana. Maana kama mtu mzima najua mu woman needs stuffs, lakin usinifanye sasa lpaka mikiwa sina nianze kupata mawazo. Maana kitu kingine sipendi ni kujieleza eleza kwq mwanamke kuwa sina pesa, sitaki kabisaaa hii.
😂😂😂😂Acha basi🤣🤣🤣Nilirudi sikuileile mkuu...
Nimeona unasema mwaka huu mapenzi yamekugaragaza....hujasurrender tu mkuu
🤣🤣🤣 Mpaka unyooke🤒😂😂😂😂Acha basi
Ndio maana nasema umerudi mapema sana
Bado Niko kwenye trauma 😂😂😂nikivuka mbona nafungua chuo