Wanawake walivyo jiachia balaaa

Wanawake walivyo jiachia balaaa

Hapo no.4 yataka moyo,la sivyo waweza jikuta unaweka mkono mfukoni.
 
Nina wasiwasi na mtoa mada, wanawake waliumbwa kuwastarehesha wanaume lakini nashangaa mtoa mada anataka nini, njoo wewe basi utukatie viuno tukutuze.
 
Mbuzi Mzee hizo picha ulizotuwekea ni za ngoma ya kitanga ikiitwa BAIKOKO, Unabishaaaa?
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na mtoa mada, wanawake waliumbwa kuwastarehesha wanaume lakini nashangaa mtoa mada anataka nini, njoo wewe basi utukatie viuno tukutuze.

ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"
 
ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"

Wale wale wasomi wetu, kioo ni kile cha mama yako ukiona chupa la sio kioo, ni nini?

Haya "kuzungusha kiuno".
 
Mtuwache tupumuweeeeeee.......

Naunga mkono hoja!!! Ndiyo maana Mwenyezi Mungu alikarimu maumbile tofauti kati ya Mwanamke na Mwanamme.



Mchina.jpg
 
Wale wale wasomi wetu, kioo ni kile cha mama yako ukiona chupa la sio kioo, ni nini?

Haya "kuzungusha kiuno".

fuata maelekezo tafadhali, ulalamishi ni dalili mbaya kwenye ubongo.
 
Back
Top Bottom