cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"
Hahaha nimeipenda
ukitaka kukatiwa kiuno nenda butcher umpe hela yako muuzaji kisha mwambie "nikatie kiuno"
Ndo maana huwa nawashangaa sana wanaume wanovutiwa na wanaume wenzao na wanawake wanaovutiwa na wanawake wenzao sijui nini huwa kinawavutia mwe?mvuto uliumbwa kati ya me na ke.Naunga mkono hoja!!! Ndiyo maana Mwenyezi Mungu alikarimu maumbile tofauti kati ya Mwanamke na Mwanamme.
View attachment 80066
Mkuu huko kote tuna uanachama..nasikitika mzee wa supu kavurugiwa site yake mkuu.......
Mkuu nahisi ujana tu unanitesa aiseee..sijui hata niliingiaje ingiaje huko aisee....Asingwa weee kiboko lol.adi uanachama kweli hii MIKITUU Hatareeee