Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,049
- 60,246
Huwa anashuhudia kuwa angejua angebaki kwenye ndoa yake,na huwa anawashauri wanandoa wasiachane,hataki yawakute yaliyomkuta yeyeUna utani na Mch. Dr. Mhe. na Enterprenuer G. Rwakatare anayehubiri maadili ya ndoa wakati yake ilimshinda.