Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,128
Leo tujadili hili swala kwa wanawake waliong'olewa ving'amuzi katika raha ya tendo la usiku.
inatajwa kuwa watu hawa hukosa kabisa raha na hamu ya kushiriki mechi.
Nimepata kuelezwa kuwa hawa huwa hawaridhiki hata uwajibike vipi lakini wapi!!
pia kuna hili swala la kukosa network ya kuweka mazingira sawa ili kuondoa uwezekano wa kupata maumivu maana king'amuzi cha kupeleka taarifa ile kulainisha kuta kimeng'olewa.
Pia kuna shida ya kujifungua endapo mama akapata mimba.
hapa uzoefu wa nguli wa kung'oa ving'amuzi unahitajika kuweka majadala sawa.
kule mara wakina mura njoo hapa,maasai,wakina mama yeyo na wengine wengi mchango wenu unahitajika hapa.
My take:stop women circumcision:tohara ya wanawake ikomeshwe