WANAWAKE waliong'olewa VING'AMUZI.

WANAWAKE waliong'olewa VING'AMUZI.

Ukasema ving'amuzi watu wanajua tigo au ndogo, kumbe we uko kuuuuuuule kwa Enzo za mwalim
 
hii mila ina maana kubwa sana, maneno ya mtoa mada hayana uthibitisho wowote
 
Asikudanganye mtu raha iko pale pale, mimi nakumbuka miaka ya 1997/98 nikiishi pande za Kola Hill, Morogoro enzi hizo, niliwahi kuwa na demu wa kigogo ambaye hakuwa na king'amuzi, lakini alikuwa anafika kilele kama kawaida. Tena wakati mwingine alikuwa aniita mwenyewe na nikifika namkuta keshalowa kitumbua tayari kwa tendo.
inawezekana yeye alikuwa anaamini amefika kileleni kumba hajafika kwasababu kilele chenyewe hata hakijui. siku akija kukijua ataelewa amepoteza muda mwingi sana kuamini kisicho.
 
Umefanya utafiti kwa mtu mmoja tena ambaye mimi na wewe hatujui amekeketwa kwa namna ipi amepiga kitu ya suna, amekatwa wasitani au wameng'oa yote. Lakini pia yawezekana ni miongoni mwa wale wachache ambao 80% haiko kwenye king'amuzi! Na yawezekana asinge katwa ange pata raha zaidi mwisho kwa kuwa alikatwa akiwa mdogo kuna uwezekano hajui wenye hiyo mambo wanapata raha gani. Na watu wanakosea pale wanapo fikiri aliye katwa hafiki kileleni ila how? ndio changamoto lasivyo asinge zaa. Napenda kuwajuza kukeketwa katika kabila langu kulitokana na kumwaandaa mtu kuolewa na hii ni kumpunguzia mapepe na kumfanya atulie asisukumwe na hisia kuwa malaya na ndio maana makabila yaliyokuwa yanakeketa walio wengi si malaya (nazungumzia wanawake) hii ni kwa sababu hisia zao huongozwa na fikira za mawazo. unajua hisia za kuwa na mtu fulani katika mambo haya hutokana na msukumo wa mawazo au mwili sasa wao mara nyingi ni mawazo yanatumika. binti kabla ya hivyo wakati wa barehe husumbua sana ila kama amefanyiwa hivyo huwa mtulivu! ujue niwambie ukweli utabaki kuwa ukweli zamani babu zetu hawakujua kuwa foolish age ni kipindi cha mpito walitafuta suruhisho bila kuona madhara!!!!!
sijakuelewa kuwa "kufika kileleni au la asingezaa?", hivi unafikiri kuzaa kuna uhusiano wowote na kufika kileleni?unajua hata ukimwagia tu hapo juu ya vulva mbegu zikapata mwanya wa kishimo mimba inatunga? tunachoongelea ni kufurahia tendo. ukikata tishu za clitoris umeondoa asilimia kubwa ya tishu zinazounganisha utamu. harage ni sawa tu na wewe unavyokuwa na penisi. ni sawa na wewe hapo wakukate penis alafu uambiwe utekenywe tu hisia zako zimebaki wapi sasa? kama vile wewe penisi inavyosimama na wao wakisisimka harage huwa linasimama na ukilitekenya linawaongezea mzuka na wanafika kileleni haraka kama vile wewe ukisugua penis unafika kileleni. msiwakate watoto wenu.

maeneo mengine ya ndani wanafika kileleni ila kwa kutumia muda mrefu sana, sasa inasemekana wanaume wa kufanya mapenzi muda mrefu hivyo sio wengi na waliopo huwa wanapunguza uwezo tu kadiri muda unavyoenda. pia ukiwa na harage, unaweza kumwaga sio mara moja, mara nyingi tu tofauti na huyo unayepambana amwage mara moja ili uondoke. ndani ya shambulizi moja kwa mwanamke akiwa na maumbile yake yote anawez akumwaga zaidi ya mara moja wakati mwanaume haujamwaga (kama unajua kujizuia).
 
Back
Top Bottom